BALOZI NCHIMBI AFANYA KWELI MWANZA

Mgombea Mwenza wa kiti cha  Urais kupitia Chama cha mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi  akiwahutubia Wananchi katika uwanja wa CCM mjini Ngudu Wilayani Kwimba, alipopita kuwasalimia wakati akianza rasmi kampeni  leo Agosti 29, 2025 jijini Mwanza. Pamoja na kuwahutubia wananchi pia alimnadi Mgombea Ubunge wa jimbo la Kwimba ndugu Bulala Mutesigwa pamoja na Mbunge  wa Jimbo la Sumve Bujaga Charles na madiwani wa chama hicho. @ccmtanzania @nchimbie @samia_suluhu_hassan #KazinaUtuTunasongaMbele








 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WALIOKUWA WABUNGE WALIOPITIWA NA MKASI WA WAJUMBE

NENO KUNTU LA UMMY MWALIMU ALILOLITOA BAADA YA KUTEMWA KUGOMBEA UBUNGE

SPIKA MSTAAFU NDUGAI AFARIKI DUNIA

WAGOMBEA WALIOENGULIWA CCM LICHA YA KUONGOZA KURA ZA MAONI

RAIS SAMIA AMUONDOLEA POLEPOLE HADHI YA UBALOZI