Karibu Mkuu wa CCM, Dkt. Asha Rose Migiro akiungana na vijana wa CCM katika amsha amsha katika mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan mjini Makambo Njombe asubuhi hii ya Septemba 6, 2025.
BAADA ya kumaliza Kampeni katika Mikoa wa Njombe,leo anaingia mkoani Iringa.
Comments