"Tunakwenda kucheza na mpinzani tofauti na
yule tuliokutana nae kwenye mchezo wa kwanza.
"Mazingira pia ni magumu kwenye hali ya hewa, lakini
tumepata siku 2 za kuzoea kiasi mabadiliko hayo na nina amini kesho tutakuwa kwenye nafasi nzuri kuleta
ushindani"
"Nina kipindi kifupi ndani ya Yanga lakini nina furaha
kubwa na kundi la wachezaji niliowakuta, naamini
tunazidi kuwa bora katika kila mchezo, kesho ni kipimo
kingine kwenye safari yetu," Kocha mkuu wa Yanga Sc Pedro Goncalves

Comments