MAREKANI YAITEKA MELI YA MAFUTA YA URUSI IKITOKEA VENEZUERA

 Marekani imeikamata meli ya mafuta ya Urusi iliyokuwa ikitokea nchini Venezuela, ukamataji huo umefanyika pamoja na Urusi awali kuitaka Marekani isifanye ukamataji huo, shirika la habari la Reuters limeripoti jioni hii


Meli hiyo ya mafuta ya Urusi ilikua inasindikizwa na nyambizi ya kivita ya Urusi katika bahari ya Atlantiki, jeshi la Marekani limeikamata na kusema ilikua inajaribu kukwepa vikwazo vilivyowekwa na Marekani kwa meli zote kutoka Venezuela

Ukamataji huu ni mvutano wa moja kwa moja kati ya wababe wa dunia Urusi na Marekani, Urusi ilitoa tamko rasmi kuitaka Marekani isiikamate meli yao ila Marekani kapuuza tamko hilo

Jana rais wa Marekani alisema Marekani ina jeshi imara na  lenye vifaa vya kisasa na silaha hatari kuliko mataifa yote ulimwenguni na hakuna taifa lolote duniani linaloikaribia Marekani hata kidogo kwa teknolojia na nguvu za kijeshi 
Je Urusi itajibu nini?... See more


 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

MIKOA 10 YENYE KIPATO KIKUBWA ZAIDI KWA MTU MMOJA MMOJA

BODABODA ALIPWA PIKIPIKI BAADA KUSAFIRI KWA BODA KWA SAA 10 MBEYA HADI DAR

ASANTE GWIJI YAYA TOURE KWA KUPASUA UKWELI UKWELI KUPENDELEWA KWA MOROCCO

CONFIRMED HAWA NDIO WACHEZAJI WETU 12 WA KIGENI 🦾

'MAREKANI IKIJARIBU KUANZISHA VITA NA URUSI ITAANGAMIA'

NYOMI YA WASENEGALI WAKISHANGILIA UBINGWA WA AFCON 2025

RAIS WA SENEGAL AWAPATIA ZAWADI NONO WACHEZAJI WALIOFANIKISHA UBINGWA WA AFCON 2025