Wananchi wa Kijiji cha Kidomole wilayani Bagamoyo, wakipanga matofali yaliyotolewa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia Shujaa wa Safari Lager, Paul Luvinga. Hafla hiyo ilifanyika kijijini hapo mwishoni mwa wiki.
Ofisa Uhusiano wa TBL, Doris Malulu akimkabidhi Shujaa wa Safari Lager, Paul Luvinga, msaada wa jenereta pamoja na kompyuta kwa ajili ya Maktaba ya Sinza E, Dar es Salaam.
Shujaa wa Safari, Paul Luvinga akimkabidhi matofali 800 Mwenyekiti wa Serikali ya Kijij cha Kilomole, Bagamoyo kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati kijijini hapo. Kulia ni Ofisa Uhusiano wa TBL, Doris Malulu.
Comments