SUMAYE AKABIDHIWA JEZI NAMBA 8 YA SIMBA


Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage (kushoto), akimkabidhi jezi namba 8, Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, baada ya kumalizika mchezo kati ya timu hiyo na Al Ahly Shandy ya Sudan, katika mchezo wa kuwania Kombe la Shirikisho Afrika jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. (Simba ilishinda mabao 3-0.
Kocha wa timu ya Simba, akiwa amebebwa na daktari wa timu hiyo, Cosmas Kampinga, baada ya kumalizika mchezo huo
Issac Seun-Maliki wa Al Ahly Shandy, akiondoa mpira miguuni mwa Felix Sunzu.
 
Uhuru Suleiman wa Simba, akipambana na Issac Seun-Maliki wa Al Ahly Shandy.
 
Issac Seun-Maliki wa Al Ahly Shandy (kushoto), akiondoa mpira miguuni mwa Felix Sunzu katika mchezo wa kuwania Kombe la Shirikisho Afrika la Mpira wa Miguu Africa (CAF), uliopigwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam
Mashabiki wa Simba wakifuatilia mchezo
kati ya timu hizo.
 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WAZIRI BASHE APIGA MARUFUKU WASIOSOMEA KILIMO KUUZA PEMBEJEO

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NILIYOYABAINI KATIKA TRENI YA SGR DAR ,MORO HADI DODOMA … KADOGOSA REKEBISHENI MAMBO HAYA MTANIKUMBUKA