KIMBUNGA KIKUBWA CHAEZUA PAA ZA NYUMBA BAGAMOYO


WAKAZI Asha Said (71) aliyenyoosha kidole kuonyesha uharibifu mkubwa uliotokea kwenye nyumba yao kufuatia kimbunga kikali kilichotokea katika kijiji cha Chahua Kata ya Bwilingu Chalinze Bagamoyo Pwani ambapo nyumba 142 zimehezuliwa mapaa yake na kuwaacha wakazi wake wakihifadhiwa kwa ndugu na majirani, kulia kwake ni mama yake mzazi aitwaye Fatuma Omary (90) ambao hawana msaada wowote hivyo wanaonmba wasaidie. (Picha na MWENGE SAID).

MLEMAVU wa viungo Yussuf Ally anayetambaa mkazi wa kijiji cha Chahua Bagamoyo Pwani akiwaonyesha viongozi ngazi ya Kata na Tarafa namna uharibifu uliotokea kwenye nyumba yake ambayo imeezuliwa paa hali inayomfanya mkazi uyo kuhitaji msaada wa haraka, kutoka kushoto Mwnyekii wa kijiji Christine Kejeli, Ofisa Tarafa Mary Komba na Mtendaji wa kijiji Hamza Salum. (Picha na MWENGE SAID)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

TOFAUTI YA WATU WA DAR NA WA MKOANI NI HUU

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NILIYOYABAINI KATIKA TRENI YA SGR DAR ,MORO HADI DODOMA … KADOGOSA REKEBISHENI MAMBO HAYA MTANIKUMBUKA

NOTI MPYA KUANZA KUSAMBAZWA MWEZI UJAO

HUYU NDIYE DKT. NCHIMBI, MAKAMU WA RAIS AJAE

CHAKUHAWATA WANENA MAKUBWA--