MABASI YA SUPER FEO EXPRESS YAZINDULIWA MBINGA

 Katibu tawala wa wilaya mbinga mkoni Ruvuma Idd Mponda wa pili kushoto akikata utepe kuzindua usafiri wa mabasi wa kampuni ya Super Feo Expres kati ya Mbinga na Dar es slaam ambayo itarahisisha huduma ya usafiri kwa wakazi wa wilaya hiyo ambao apo awali walilazimika kulala mjini Songea kabla ya kuelekea katika maeneo mengine ya nchi,kushoto ni mwenyekiti wa Chamacha Mapinduzi mkoa waRuvuma Oddo Mwisho na wa pili kulia mkurugenzi wa kampuni ya Super Feo Omari Msingwa.
 Katibu tawala wa wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma Idd Mponda akiwasha moja ya mabasi matano ya kampuni ya Super Feo Expres yaliyoanzasafari zake kati ya Mbinga na Dar jana katika kituo cha mabasi mjini Mbinga
Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi mkoa wa Ruvuma Oddo Mwisho akijaribu kuwasha moja ya mabasi ya Kampuni ya Super Feo Expres iliyoanza safari zake kati ya Mbinga na Dar jana katika kituo cha Mabasi mjini Mbinga.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

TOFAUTI YA WATU WA DAR NA WA MKOANI NI HUU

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NILIYOYABAINI KATIKA TRENI YA SGR DAR ,MORO HADI DODOMA … KADOGOSA REKEBISHENI MAMBO HAYA MTANIKUMBUKA