KIWANDA CHA KONYAGI (TDL) CHATOA MSAADA WA VYAKULA VYA THAMANI YA SH. MIL. 9 KWA WAJANE NA YATIMA ZANZIBAR

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited (TDL)David Mgwassa (kushoto), akiwakabidhi msaada wa vyakula na mafuta ya kupikia vyote vikiwa na thamani ya sh.milioni 9, wabunge wa Zanzibar, Ahmed Ngwali (kulia), wa Jimbo la Ziwani na Khalifa Suleiman wa Jimbo la Kagando kwa ajili ya kuwasaidia wajane na yatima waliofiwa na wategemezi wao katika ajali ya meli ya Mv Spice na Scaggit  zilizotekea visiwani humo. Makabidhiano hayo yalifanyika Dar es Salaam juzi
 Mgwassa akifafanua jambo baada ya kukabidhi msaada huo
 Ahmed Ngwali (kulia0 akimshukuru Meneja Masoko wa TDL Joseph Chibehe
 Mgwassa akizungumza katika hafla hiyo
                                 Chibehe akishauriana na jambo na Mgwassa

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

TOFAUTI YA WATU WA DAR NA WA MKOANI NI HUU

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NILIYOYABAINI KATIKA TRENI YA SGR DAR ,MORO HADI DODOMA … KADOGOSA REKEBISHENI MAMBO HAYA MTANIKUMBUKA