Halmashauri
ya Manispaa ya Kinondoni inapenda kuwaatarifu wanainchi wote wa
kinondoni kuwa sasa wanaweza kulipia malipo yote ikiwemo kodi ya
majengo na malipo mengine kwa njia zifuatazo.
CRDB BANK
MAX MALIPO
MPESA
TIGO PESA
AIRTEL MONEY
LIPA KODI YAKO KWA WAKATI KWA MAENDELEO YA MANISPAA YETU YA KINONDONI.
Comments