Naibu Katibu Mkuu Maliasili wa Wizara Ya
Kilimo na Maliasili Dr Bakari Saad Asseid akitoa nasaha zake katika
shughuli ya ufungaji wa mafunzo ya kuboreshaji kilimo cha mpunga wa juu
na wa umwagiliaji maji nchini yaliyowahusisha mabwana na mabibi shamba
(40) kutoka shehia za Unguja na Pemba mafunzo yalikua ya siku kumi na
moja (11) kuanzia tarehe 10-20/03/2014 yaliyofanyika Chuo cha Kilimo
Kizimbani mafunzo hayo yakiwa ni sehemu ya mradi unaoendeshwa baina ya
Serekali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Shirika la kimaendeleo la Marekani
(USAID)
Washiriki wa mafunzo ya kuboresha kilimo
cha mpunga wa juu na umwagiliaji maji wakimsikiliza Naibu katibu Mkuu
Wizara ya kilimo na Maliasili Dk Bakari Saad Asseid ( hayupo pichani)
alipokuwa akitoa nasaha zake
Washiriki wa mafunzo ya kuboresha kilimo
cha mpunga wa juu na umwagiliaji maji wakimsikiliza Naibu katibu Mkuu
Wizara ya kilimo na Maliasili Dk Bakari Saad Asseid ( hayupo pichani)
alipokuwa akitoa nasaha zake alipokuwa akifunga mafunzo hayo
Comments