Shirikisho Soka barani Afrika CAF limetoa taarifa kuwa taifa la Kenya π°πͺ limeshindwa kukidhi vigezo vya kuwa mmoja wa mataifa yatakayoandaa mashindano ya CHAN mwakani 2025 mara baada ya kushindwa kukidhi vigezo vya kuwa mwenyeji wa mashindano hayo.
Viwanja vyote vilivyopo Kenya havina ubora wa kutumika katika michezo ya FIFA Wala CAF Kwa mujibu wa wakaguzi wa CAF na hata uwanja wa Kasarani unaojengwa pia imeonekana kuwa hautakamilika Kwa wakati.
Nafasi hiyo wamepatiwa Rwanda π·πΌ mara baada ya kuonekana wao wamekidhi vigezo vya kuwa wenyeji wa CHAN.
CHAN2025 itachezwa katika mataifa matatu ambayo ni Rwanda π·πΌ, Tanzania πΉπΏ pamoja na Uganda πΊπ¬.
Comments