FURAHA YA KUHITIMU DARASA LA SABA

Mhitimu wa darasa la saba   shule ya Msingi Muungano  mjini  Iringa  aliyejitambulisha kwa jina moja la Emanuel akifuatilia tangazo la masomo ya  ziada (TUITION) kwa ajili ya  kidato  cha kwanza tangazo lililobandikwa katika   nguzo ya simu  eneo la Danish mjini Iringa  baada ya kumaliza kufanya mtihani wa Taifa wa darasa la  saba


Mwanafunzi  Andason Aldoph ,Salma Yusuph na Naufary Rajab wakishangilia  baada ya  kuhitimu  elimu ya msingi  leo
Wahitimu wa darasa la saba katika  shule ya msingi  Lugalo na Wilolesi mjini  Iringa  wakijipongeza kwa kushangilia baada ya  kumaliza kufanya mtihani wa Taifa wa darasa la  saba  jana huku  wakiimba  wimbo  wao kuwa wamemaliza viboko  sasa  basi ufaulu ni lazima kama  walivyokutwa na mpiga picha  wetu  leo jioni( picha zote  na FrancisGodwinblog)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

TOFAUTI YA WATU WA DAR NA WA MKOANI NI HUU

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NILIYOYABAINI KATIKA TRENI YA SGR DAR ,MORO HADI DODOMA … KADOGOSA REKEBISHENI MAMBO HAYA MTANIKUMBUKA