Majeneza yenye miili ya watu sita wa familia moja waliofariki kwa moto baada ya nyumba kuteketea kwa moto, eneo la Kipunguni A, Ukonga,ikiwa imepangwa wakati wa ibada ya kuwaombea wakati wa mazishi yaliyofanyika jioni hii kwenye makaburi ya Airwing, Ukonga, Dar es Salaam.
Mmoja wa ndugu wa marehemu akila
Mmoja wa ndugu wa marehemu akila
Comments