Waziri Mkuu mstaafu, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa (CCM) akizungumza na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika kikao cha siri jijini Dar es Salaam jana, cha kujadili yeye kujiunga na chama hicho na kupewa ridhaa ya kuwania urais wa Tanzania kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Kushoto kabisa mwenye miwani ni Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akifuatiwa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Wilbrod Slaa, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema,Mwesiga Baregu, Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Peter Msigwa.
Lowassa (kushoto) akishiriki katika kikao hicho cha majadiliano
Lowassa (kushoto) akishiriki katika kikao hicho cha majadiliano
Comments