Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Muhimbili, Dafrosa Assenga akipokea bahasha kutoka kwa Mwenyekiti wa wahitimu 1988 shule ya msingi muhimbili,Usia Nkoma
Mgeni Rasmi Balozi Kassimu Mwawado, akikata utepe kwa fungua wa Ofisi ya walimu wa shule ya msingi Muhimbili, iliyokarabatiwa na kuweka viti 29 na meza 8 na wanafuzi waliohitimu darasa la saba katika shule hiyo, pamoja na kiti na meza cha kisasa katika ofisi ya Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo katika hafra fupi iliyoandaliwa na wanafunzi hao ikiwa imehudhuliwa na walimu wa shule hiyo wa tangu mwaka 1978.kuliani kulia ni Mwenyekiti wa wahitimu 1988 shule ya msingi muhimbili,Usia Nkoma
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Muhimbili, Dafrosa Assenga akipeana mkono na Mgeni Rasmi Balozi Kassimu Mwawado, mara baada ya kukabidhiwa kiti na meza Mpya kutoka kwa wanafunzi waliohitimu katika shule hiyo Mwaka 1988, ikiwa ni mchango yao katika kuendeleza elimu . kulia ni Mwenyekiti wa wahitimu 1988 shule ya msingi muhimbili,Usia Nkoma
Waandishi wakifuatilia matukio kwa umakini mkubwa kila mmoja kwa nafasi yake.
Comments