HABARI MPASUKOOOOO!!!!!! AJALI MBAYA YA COASTER IMETOKEA LEO KIBAMBA CCM DAR NA KUJERUHI ABIRIA

 Gari la abiria aina ya Toyota namba T 984 BDA, imepata ajali leo asubuhi katika eneo la Kibamba CCM, Dar es Salaam ambapo imejeruhi abiria kadhaa. Hakuna mtu aliyepoteza maisha katika ajali hiyo. Picha zote na Manyerere Jackton.



 Baadhi ya majeruhi wa ajali hiyo


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

TOFAUTI YA WATU WA DAR NA WA MKOANI NI HUU

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NILIYOYABAINI KATIKA TRENI YA SGR DAR ,MORO HADI DODOMA … KADOGOSA REKEBISHENI MAMBO HAYA MTANIKUMBUKA

NOTI MPYA KUANZA KUSAMBAZWA MWEZI UJAO

HUYU NDIYE DKT. NCHIMBI, MAKAMU WA RAIS AJAE