Msaidizi wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Kanali Mkeremy
akibidhi Rambirambi(kwa niaba ya Mhe. Rais) kwa Mufti wa Tanzania Shekhe Aboubakar
Zubeir ambaye amefiwa na Kaka yake Shekhe Saad Zubeiry Ally ambaye amefariki
katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.
Msaidizi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Kanali Mkeremy akizungumza jambo na Mufti wa Tanzania Shekhe Aboubakar Zubeir ambaye amefiwa na Kaka yake Shekhe Saad Zubeiry nyumbani kwa Marehemu Kinondoni Mtaa wa Ufipa jijini Dar es Salaam. Wakwanza kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu.
Msaidizi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Kanali Mkeremy akizungumza jambo na Mufti wa Tanzania Shekhe Aboubakar Zubeir ambaye amefiwa na Kaka yake Shekhe Saad Zubeiry nyumbani kwa Marehemu Kinondoni Mtaa wa Ufipa jijini Dar es Salaam. Wakwanza kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu.
Msaidizi wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Kanali Mkeremy
akiagana na Shekhe wa mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa Salum mara baada ya
kuwasilisha Rambirambi kwa niaba ya Mhe. Rais katika msiba huo uliopo Kinondoni
mtaa wa Ufipa jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Comments