BRIGEDIA ISAAC MALIYAMUNGU MFUASI WA IDI AMIN ALIYEUA WATU 80,000

 Je wajua Brigadier Isaac Maliyamungu Ni luteni mbaya ambaye alikuwa anahudumu enzi za Mtawala Idd Amin Dada akiongoza kikosi maalumu cha Kuzima Upinzani katika Jeshi, Aliwaua watu takribani 80,000 na inasadikika alipotea kipindi cha vita ya kagera mpaka Leo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WAZIRI BASHE APIGA MARUFUKU WASIOSOMEA KILIMO KUUZA PEMBEJEO

BREAKING: CAF YAIPOKONYA KENYA KUANDAA CHAN