KAMISHNA MARIJANI AZINDUA CHAMA CHA WAFUGAJI MBWA TANZANIA (TCA)

 Wamiliki wa mbwa wakiwatuliza mbwa wao waliokuwa wangombana wakati wa hafla ya  uzinduzi wa Chama cha Wafugaji wa Mbwa Tanzania kwenye viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, Dar es Salaam. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Mkuu wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Nsato Marijani akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Chama cha Wafugaji wa Mbwa Tanzania kwenye viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, Dar es Salaam.Kushoto ni Katibu Mkuu wa chama hicho, Mwami Mlangwa.
 Mkuu wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Nsato Marijani akionesha vyeti vya usajiri vya Chama cha Wafugaji wa Mbwa Tanzania (TCA) kwenye viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, Dar es Salaam.Kushoto ni
 Kikosi cha polisi cha mbwa kikipita wakati wa kuonesha shoo ya mbwa hao
 Mbwa wa Polisi akiruka kiunzi
 Mbwa wa Polisi akikamata mhalifu
 Shoo ya mbwa wa kufugwa wakipitishwa na wamiliki













 Mdau wa chama cha TCA, Deo Rweyunga akizungumza kuhusu ufugaji bora wa mbwa hao


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WAZIRI BASHE APIGA MARUFUKU WASIOSOMEA KILIMO KUUZA PEMBEJEO

BREAKING: CAF YAIPOKONYA KENYA KUANDAA CHAN

BREAKING NEWSSSS. WABUNGE WAPATA AJALI

π—₯π—”π—§π—œπ—•π—” 𝗬𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—” 𝗬𝗔 π—žπ—¨π—™π—¨π—‘π—šπ—” 𝗠π—ͺπ—”π—žπ—” 2024 πŸ”°

MONGELLA AWATEMBELEA HOSPITALI WALIOMWAGIWA TINDIKALI

GERSON MSIGWA AREJESHWA KUWA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI

AUCHO, BACCA, BOKA WAJUMUISHWA KWENDA ALGERIA LEO