KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU


 "Nafurahi tumetinga hatua Inayo fuata Tukiwa vinara wa kundi sasa tunaenda kufanya makubwa lengo letu ni kutetea Ubingwa wa CAF Champions League" 


Kocha wa Al Ahly Sporting Club Marcel Koller amewapa Maua Yao Yanga kwamba hii ni Moja ya timu Bora na ngumu ambayo amecheza nayo tangu atue hapa Afrika 🌍 .


Kocha huyu amesema @yangasc watafanya makubwa katika michuano hii Kwa sababu Wana wachezaji ambao wenye kiu ya kutaka kufika mbali zaidi.


🎢😁Kocha wa AHLY kaelewa show Mimi nani nipinge huku mwituni πŸƒπŸŽΆ #yanga #yangasc #YallaYaAhly


              

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI