"Sisi kama Serikali tumeweka mkakati wa kuchunguza shabiki yoyote Wakitanzania ambaye atakaye kwenda kinyume na uzalendo kuelekea mechi za CAFCL za Yanga na Simba"
"Tukikuona umevaa jezi ya Mamelodi au Al Ahly tutakuchunguza na kukuchukulia hatua za kisheria vile inastahiki".
- Dkt. Damas Ndumbaro, Waziri wa UtamaduniSanaa na Michezo la Wananchi Newspapers in Twitter (X)
Comments