BALOZI NCHIMBI AONGOZA MAPOKEZI YA KATIBU MKUU, MGOMBEA URAIS WA FRELIMO



Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi amewaongoza viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali, ngazi ya taifa na Mkoa wa Dodoma, kumpokea  Katibu Mkuu wa Chama Tawala cha Msumbiji (FRELIMO), Komredi Daniel Francisco Chapo, ambaye pia ni mgombea urais mteule wa FRELIMO, kwenye Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo utakaofanyika mwaka huu mara baada ya kuwasili pamoja na ujumbe wake, katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma, leo Jumatano Juni 12, 2024.








 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

RAS KILIMANJARO NA DEREVA WAFARIKI KWA AJALI, MKUU WA MKOA ADHIBITISHA

MBUNGE MBOGO AWAALIKA BUNGENI VIONGOZI UWT KATAVI

DKT NCHIMBI AUNGURUMA KILIMANJARO

SPIKA TULIA AMLILIA MBUNGE EALA

WAZIRI WA FEDHA AWASILISHA BAJETI YA 2024/2025

KIKWETE AANZISHA MSOGA HALF MARATHON

PROF NDAKIDEMI AITAKA SERIKALI KUPELEKA VIFAA TIBA URU KUSINI

WANANCHI KIBOSHO WAIOMBA SERIKALI KUWAJENGEA VIVUKO VYA KUDUMU