DK SAMIA AMWAGIWA ZAWADI, AKIFUNGA KIKAO CHA BARAZA KUU LA UWT

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya picha yake ya kuchora kutoka kwa Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake  wa CCM (UWT), Mary Chatanda wakati wa kufunga Kikao Maalumu cha Baraza Kuu la UWT mjini Songea mkoani Ruvuma Septemba 28, 2024.

Rais Samia akipokea zawadi ya picha nyingine kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa UWT, Zainab Hamis Shomari.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia akihutubia katika kikao hicho.
Katibu Mkuu wa CCM, Balozi, Dk.  Emmanuel Nchimbi akizungumza kabla ya kumkaribisha , Mwenyekiti wa CCM, Samia kufunga kikao hicho.

Baadhi ya wajumbe wa baraza hilo wakiwa katika kikao hicho.



 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

๐— ๐—•๐—ข๐—ช๐—˜ ๐—”๐—ฆ๐—œ๐—ง๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐— ๐—”๐—”๐—ก๐——๐—”๐— ๐—”๐—ก๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐—–๐—›๐—”๐——๐—˜๐— ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—ง๐—”๐—ฅ๐—˜๐—›๐—˜ ๐Ÿฎ๐Ÿฏ.

DEMU KAMA ANAFANYA KAZI HIZI KUWA MAKINI NAE.

KAMATI YA UWT KUTOA MSAADA WA KISHERIA NCHINI

KIKOSI CHA CBE KIMEWASILI ZENJI KUVAANA NA YANGA

YANGA YAWASILI SALAMA ETHIOPIA