UWT YALAANI VIKALI MATUKIO YA KIKATILI YANAYOENDELEA DODOMA

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UW)  Mkoa wa Dodoma, Dk. Neema Majule (katikati), akizungumza na vyombo vya habari jijini Dodoma Septemba 21, 2024 kutoa tamko la kulaani vikali matukio ya kikatili yanayoendelea mkoani humo kwa takribani wiki tatu mfululizo. wengine ni wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji UWT wa mkoa huo, Dayana Ngurumo (kulia) na Beatrice Hamisi.
Dk. Majule akiwa na wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji UWT Mkoa wa Dodoma. Kutoka kushoto ni; Emma Mtuli, Beatrice Hamisi,Dayana Ngulumo na Elizabeth Malamla.

 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MSIMAMIZI MKUU 
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV 
0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CPA MAKALLA 'KUUTEKA' MKOA WA ARUSHA

ASKOFU CHANDE AISHUKURU SERIKALI KULIPATIA USAJILI WA KUDUMU KANISA LA KARMELI

DEMU KAMA ANAFANYA KAZI HIZI KUWA MAKINI NAE.

JENGENI UWANJA WA MICHEZO WA KISASA NJOMBE-MWANYIKA

KAMATI YA UWT KUTOA MSAADA WA KISHERIA NCHINI

YANGA YAWASILI SALAMA ETHIOPIA