WAZIRI KIKWETE AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI MWITA WA ZANZIBAR





 WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye ulemavu, RIDHIWANI KIKWETE Leo amekutana na kufanya Mazungumzo na Mh. Tabia Mwita , Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar Es Salaam. 


Waziri Mwita yupo Jijini kuhudhuria mkutano wa Vijana na Amani unaofanyika mjini hapa. #KaziInaendelea.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CPA MAKALLA 'KUUTEKA' MKOA WA ARUSHA

ASKOFU CHANDE AISHUKURU SERIKALI KULIPATIA USAJILI WA KUDUMU KANISA LA KARMELI

DEMU KAMA ANAFANYA KAZI HIZI KUWA MAKINI NAE.

JENGENI UWANJA WA MICHEZO WA KISASA NJOMBE-MWANYIKA

KAMATI YA UWT KUTOA MSAADA WA KISHERIA NCHINI

YANGA YAWASILI SALAMA ETHIOPIA