ACHENI KUMDHARAU RAIS, AMEWEKWA NA MUNGU - ASKOFU CHANDE


 Askofu Mkuu wa Kanisa  la Assemblies of God la Ipagala jijini Dodoma, Dk. Evance Chande amewaomba watanzania kutomdharau Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan kwani madaraka aliyonayo amepewa na Mwenyezi Mungu, hivyo kinachotakiwa ni kumuombea aliongoze vyema Taifa hadi muda wake utakapomalizika.


Dk. Chande ameyasema hayohivi karibuni  alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari kanisani kwake ambapo pia amewaomba watanzania kuendelea kudumisha amani na utulivu wa Nchi pamoja na kuwaombea viongozi waliopo.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MSIMAMIZI MKUU
 KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV 
0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

๐— ๐—•๐—ข๐—ช๐—˜ ๐—”๐—ฆ๐—œ๐—ง๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐— ๐—”๐—”๐—ก๐——๐—”๐— ๐—”๐—ก๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐—–๐—›๐—”๐——๐—˜๐— ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—ง๐—”๐—ฅ๐—˜๐—›๐—˜ ๐Ÿฎ๐Ÿฏ.

KAMATI YA UWT KUTOA MSAADA WA KISHERIA NCHINI

KIKOSI CHA CBE KIMEWASILI ZENJI KUVAANA NA YANGA

YANGA YAWASILI SALAMA ETHIOPIA

DEMU KAMA ANAFANYA KAZI HIZI KUWA MAKINI NAE.

MAYELE AIMWAGIA SIFA LUKUKI YANGA