MAMBO YANAYOUA NDOA NA MAHUSIANO

 


1 Uvivu unaua Mahusiano
2 Tuhuma za wizi zinaua Mahusiano
3 Kutokuaminiana kunaua Mahusiano
4 Kutoheshimiana kunaua Mahusiano
5 Kutosamehe, ugomvi, Chuki, fitina na hasira za kijinga vinaua Mahusiano
6. Mabishano yasiyo ya lazima yanaua Mahusiano
7 Kutotunza Siri za mpenzi wako kunaua Mahusiano
8 Kila aina ya Ukafiri inaua Mahusiano
9 Mawasiliano duni yanaua Mahusiano
10 Uongo uongo unaua Mahusiano kirahisi, kuwa mkweli kwa mpenzi wako kwa kila jambo.
11 Kuhusiana zaidi na wazazi/ndugu zako kuliko mpenzi wako kunaua Mahusiano
12 Ukosefu wa kutopeana Mapenzi isiyotosheleza au isiyofurahisha au yasiyofikisha kileleni inaua Mahusiano
13 Ku chiti na watu Wengine kunaua Mahusiano na ndoa
14 Maneno mengi na maongezi ya hovyo yanaua Mahusiano
15 Kutumia muda kidogo Kwa mpenzi wako kunaua Mahusiano
16 Kutokuelewa wajibu Wako na nafasi yako, kutowajibika katika ndoa na Kuwa na mawazo ya ubinafsi sana kunaua ndoa na Mahusiano
17 Mapenzi ya kinafiki , Mapenzi ya pesa, kununua na kutumia pesa bila mpangilio, utovu wa nidhamu wa kifedha unaua Mahusiano na ndoa
18 Kuonyesha udhaifu wa mpenzi wako kwa wazazi au Ndugu zako kunaua Mahusiano na ndoa
19 Kutokuwa strong Kwa familia/kuchangamka katika roho, kutokuomba Mungu pamoja kunaua sio ndoa tu bali na maisha yako.
20 Kuvaa uso wa huzuni kila mara kuwa ni Mtu wa kulalamika hasira kunaua Mahusiano.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

RAIS SAMIA ANA KWA ANA NA ZUHURA YUNUS

𝗠𝗕𝗢𝗪𝗘 𝗔𝗦𝗜𝗧𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗠𝗔𝗔𝗡𝗗𝗔𝗠𝗔𝗡𝗢 𝗬𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗗𝗘𝗠𝗔 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗥𝗘𝗛𝗘 𝟮𝟯.

USHAURI WA BURE KWA KILA MFANYAKAZI

KIKOSI CHA CBE KIMEWASILI ZENJI KUVAANA NA YANGA