Shirikisho la soka Duniani FIFA imetoa viwango vya ubora wa soka Duniani kwa mwezi Novemba huku Tanzania ikipanda kwa nafasi sita kwenye viwango hivyo kutoka nafasi ya 112 na sasa tunashika nafasi ya 106.
Kenya imeshuka kwa nafasi mbili, kutoka 106 mpaka 108 huku Uganda wakiporomoka kwa nafasi moja, kutoka nafasi ya 87 mpaka nafasi ya 88 wakati Zambia wakipanda kwa nafasi 7, kutoka nafasi ya 94 mpaka 87.
Viwango vya FIFA kwa Mataifa ya Afrika Mashariki
1-Uganda 88
2-Tanzania 106
3-Kenya 108
4-Rwanda 128
5- Burundi 139
10 BORA KWA AFRIKA
1. Morocco — 14th (Duniani)
2. Senegal — 17th
3. Egypt — 33rd
4. Algeria — 37th
5. Nigeria — 44th
6. Ivory Coast — 46th
7. Cameroon — 49th
8. Mali — 51st
9. Tunisia — 52nd
10. South Africa — 57th
10 BORA DUNIANI
1. 🇦🇷 Argentina
2.🇫🇷 France
3.🇪🇸 Spain
4.🏴 England
5.🇧🇷 Brazil
6.🇵🇹 Portugal
7.🇳🇱 Uholanzi
8.🇧🇪Belgium
9.🇮🇹 Italy
10.🇩🇪 Germany
Comments