RAIS SAMIA AONGOZA KUTOA HESHIMA, KUAGA MWILI WA MAREHEMU DKT . NDUGULILE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaongoza waombolezaji mbalimbali, wakiwemo viongozi wa Chama na Serikali, wakati wa kutoa heshima na kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jimbo la Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika ka Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika, Mhe. Faustine Engelbert Ndugulile, leo Jumatatu, tarehe 2 Desemba 2024, katika Viwanja vya Karimjee, jijini Dar Es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa heshima na kuaga mwili wa marehemu Dkt. Ndugulile.
Rais Samia akiwasili katika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam tayari kuongoza kutoa heshima kwa mwili wa marehemu Dkt. Ndugulile.
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi akisalimiana na baadhi ya waombolezaji aliposhiriki kutoa heshima za mwisho na kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jimbo la Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika ka Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika, Mhe. Faustine Engelbert Ndugulile, leo Jumatatu, tarehe 2 Desemba 2024, katika Viwanja vya Karimjee, jijini Dar Es Salaam.


Wapambe wa Bunge wakiwa wamebeba jeneza la mwili wa marehemu Dkt. Ndugulile.

Dkt. Nchimbi  akizungumza jambo na baadhi viongozi walioshiriki kuuaga mwili wa marehemu, Dkt. Ndugulile.
Dkt Nchimbi akitoa salamu za rambirambi za chama.

Rais Samia akiwa na baadhi ya viongozi.

Rais Samia akitoa salamu za rambirambi.
Rais Samia akitia saini kwenye kitabu cha rambirambi.
 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAMBO SABA AMBAYO WANAUME WENGI HAWAYAPENDI:

NI HESHIMA KUBWA SANA KUIFUNDISHA YANGA - KOCHA MPYA WA YANGA

𝗥𝗔𝗧𝗜𝗕𝗔 𝗬𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗙𝗨𝗡𝗚𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗞𝗔 2024 🔰

UOKOAJI KARIAKOO NI USHUHUDA WA MOYO WA UTANZANIA: NCHIMBI

”RAIS SAMIA AUMIZWA MAUAJI YA KIBIKI”

KOCHA SEAD RAMOVIC AMRITHI GAMONDI YANGA.

TAMISEMI PUUZENI DOSARI NDOGONDOGO ZA WAGOMBEA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA - DK. NCHIMBI

RAIS SAMIA ATOA SALAMU ZA POLE KWA KIFO CHA DKT. NDUGULILE