Mbunge wa Viti Maalumu, Neema Lugangira pamoja na mambo mengine katika semina ya wabunge vijana kujengewa uwezo wa uongozi, amesema kuwa ameguswa sana na somo la viongozi kuejiepusha na msongo wa mawazo wa kiuchumi lililotolewa na Mtendaji Mkuu wa Mahakama, Profesa Elisante Ole Gabriel katika semina hiyo iinayoendelea kwenye ukumbi wa Bunge wa Msekwa jijini Dodoma.

Comments