TUTAMSHANGAA ATAKAYEJITANGAZA MWINGINE KUGOMBEA URAIS CCM - MWANYIKA


 Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika amesema kuwa wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameamua kupitisha majina ya Dkt. Samia Akuhu Hassan kuwa mgombea wa kiti cha urais wa Tanzania kupitia chama hicho na Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwa upande wa Zanzibar, kutokana na kazi kubwa walioifanya. Aidha,Mwanyika amesema kuwa Watamshangaa endapo mwanachama mwingine wa CCM atajitokeza na kutangaza kuwa atakuwa mgombea urais.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MSIMAMIZI MKUU
 KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

TOFAUTI YA WATU WA DAR NA WA MKOANI NI HUU

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NILIYOYABAINI KATIKA TRENI YA SGR DAR ,MORO HADI DODOMA … KADOGOSA REKEBISHENI MAMBO HAYA MTANIKUMBUKA