Waziri wa Kazi, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete akiwasilisha Muswada wa Sheria ya marekebisho ya sheria za Kazi (The Labour Laws (Amendments) (No. 13) Bill, 2024), Bungeni Dodoma tarehe 14 Januari, 2025. Ametumia kikao hicho kuwahabarisha wajumbe jitihada zinazofanywa na serikali kutatua changamoto zinazowakabiri Watumishi Tanzania wakiwemo wale wanaojifungua watoto NJITI na changamoto za utatuzi wa migogoro ya Ajira Nchini.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, Fatma Toufiq (kushoto), akiongoza kikao hicho.
Mjumbe wa kamati hiyo ya Bunge, Khadija Taya 'Keisha' akitoa maoni yake.
Comments