Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe.
Jaji Latifa Alhinai Mansoor kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla
iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha
Mhe. Jaji George Mcheche Masaju kuwa Jaji wa Mahakama ya
Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22
Januari, 2025.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha
Mhe. Jaji Dkt. Deo John Nangela kuwa Jaji wa Mahakama
ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22
Januari, 2025.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha
Jaji Dkt. Ubena John Agatho kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye
hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025.
Comments