π™π™π™π˜Όπ™π™π™•π™ π™†π™’π˜Ό π™†π™„π™Žπ™ƒπ™„π™‰π˜Ώπ™Š-RAMOVIC


 

"Nilipokuwa Galaxy nilimwambia Boss niletee wachezaji hii timu iwe tishio akasema sawa.Msimu wa pili ulipoanza wachezaji wachache wazuri niliokuwa nao nikaona wanauzwa Mamelodi na Orlando.Nikakasirika sana na kujiuzuru.

Nmefika Yanga nmekuta ina wachezaji wote niwatakao.Hapa sina kisingizio.Mechi ya kesho dhidi ya Hilal nimewaambia wachezaji wacheze kama hawatacheza tena mechi maishani mwao.Na hawa ni High class Players wakiamua kucheza kila mchezaji 100% hata Real Madrid hapati sare kwa hawa vijana wangu kwa nnavowajua.(Akacheka).

Mashabiki waombeeni wachezaji wenu waamke salama tu.MTAFURAHI"

SEAD RAMOVIC Kocha Mkuu wa Yanga

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WAZIRI BASHE APIGA MARUFUKU WASIOSOMEA KILIMO KUUZA PEMBEJEO

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

NILIYOYABAINI KATIKA TRENI YA SGR DAR ,MORO HADI DODOMA … KADOGOSA REKEBISHENI MAMBO HAYA MTANIKUMBUKA

DK. KIKWETE AZINDUA KITUO CHA AFYA KIZIMKAZI, APONGEZA MAENDELEO ZANZIBAR

KOCHA WA MAMELODI ASIMAMISHWA KWA KUWAPIGA CHABO WACHEZAJI WAKE WA KIKE