“Hatujawahi kwenda kucheza mchezo kwa ajili ya droo sisi lengo letu namba moja ni ushindi, sina haja ya kuongelea kuhusu matokeo mengine zaidi ya ushindi hapo kesho, nina wachezaji ambao wanaweza kubadilika kutokana na mbinu zangu au kutokana na mfumo wa wapinzani, sina mashaka na mbinu zangu kwenye kupata matokeo ya ushindi hapo kesho”
Kocha mkuu wa klabu ya Yanga Sead Ramovic kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya MC Alger.
Comments