Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ( NHIF), imepanua wigo wa kuwahudumia wateja kwa kuwa na zaidi ya vizuri 10000 nchini
Mafanikio hayo na mengineyo yameelezwa na Mkurugenzi Mkuu wa mfumo huo, Dkt. Irene Isaka wakati wa uzinduzi wa Bodi ya Wakurugenzi ya mfuko huo jijini Dodoma Leo Januari 21,2025.
Aidha, Dkt. Isaka ametaja moja ya faida walizopata NHIF, tangu alipojiunga na mfuko huo kuwa ni kuongeza nakisi kutoka zaidi ya sh.bil. 40 hadi sh. Bil. 112 inayoweza kuhudumu zaidi ya mwaka mmoja.
Mgeni rasmi katika hafla hiyo alikuwa Waziri wa Afya, Jenista Mhagama,
Comments