Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa 2014 toleo la 2023 na maboresho ya mitaa utakaofanyika Januari 31, 2025 kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Hayo yamezungumzwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia ya Habari, Profesa Adolf Mkenda alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo.
Prof. Mkenda akizungumza katika mkutano huo. Kushoto Ni Naibu Waziri wa wizara hiyo, Dkt. Omar Kipanga na kulia ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Prof. Caroline Nombo.
Comments