ZIJUE DALILI 10 ZA UJAUZITO


1. Kukosa siku zako

2. Misuli ya miguu kubana

3. Uchovu

4. Kichefuchefu na kutapika

5. Mabadiliko ya mhemuko (mood)

6. Haja ndogo mara kwa mara

7. Kusinzia hovyo

8. Kupoteza ladha

9. Maziwa kuuma/kuvimba

10. Kujaa mate mdomoni


NB: Pima kuhakikisha! 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WAZIRI BASHE APIGA MARUFUKU WASIOSOMEA KILIMO KUUZA PEMBEJEO

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NILIYOYABAINI KATIKA TRENI YA SGR DAR ,MORO HADI DODOMA … KADOGOSA REKEBISHENI MAMBO HAYA MTANIKUMBUKA