Waziri Mkuu, Kassim Mgoajaliwa na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson wakiongoza kufanya mazoezi ya viungo wakati wa Azania Bunge Bonanza la mashabiki wa Simba na Yanga kwenye viwanja vya John Merlin, Miyuji, jijini Dodoma Januari Mosi, 2025. Bonanza hilo lililodhaminiwa na Benki ya Azania lilijumuisha michezo mbalimbali na washindi kuzawadiwa medali na vikombe.
Wakishindana kunywa soda
Wakishindana kula
Washindi wakivalishwa medali.
Washindi wakikabidhiwa kombe.Wakishinda mbio.
Mbgio za magunia.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments