Maadhimisho ya miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) yatakayofanyika Jumatano Februari 5 mwaka huu yatatumika kuwatambulisha rasmi kwa wanaCCM Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho, Mwenyekiti wa chama hico, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mgombea Mwenza, Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi na Mgombea Urais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi. Hayo yameelezwa na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA. Amos Makalla katika mkutano na vyombo vya habari jijini Dodoma leo Februari 3, 2025.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments