ELIMU MUSOMA VIJIJINI: MIJADALA YENYE MAPENDEKEZO YA KUBORESHA UFUNDISHAJI, UJIFUNZAJI NA UELEWA WA WANAFUNZI WETU
Wataalamu:
*Dr Zablon Kengera, UDSM
*Dr George Kaangwa, UDSM
*Mr Jeff Makongo, Ubunifu Associates
Mfadhili (usafiri, chakula, n.k.)
*Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini
Prof Dr.rer.nat. Sospeter Muhongo
Tarehe za Mijadala:
25 March 2025: Busambara Sekondari
Washiriki: Afisa Elimu Kata 21
Wataalamu 3
26 March 2025: Busambara Sekondari
Saa 3 asubuhi - Saa 6 mchana
(Primary Education)
Washiriki: Walimu Wakuu 120
Wataalamu 3
Saa 8 mchana - Saa 11 jioni
(Secondary Education)
Washiriki: Wakuu wa Sekondari 32
Wataalamu 3
27 March 2025: Halmashauri, Kwikonero
Washiriki: DC, DED, DEOs,
Madiwani, Mbunge wa Jimbo
Wataalamu 3
Washiriki kutoka kwenye shule zetu:
Shule za Serikali, wanakaribishwa
Shule za Binafsi, wanakaribishwa
Mijadala ya miaka ya nyuma:
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini alishafadhili mijadala yenye malengo kama haya ya Machi 2025. Mijadala hiyo ni:
(i) 2019: Mjadala wa Mkoa wa Mara
(ii) 2021: Mjadala wa Wakuu wa Sekondari za Musoma Vijijini
TUENDELEE KUCHANGIA UBORESHAJI WA ELIMU ITOLEWAYO KWENYE SHULE ZETU
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz
P. O. Box 6
Musoma
Tarehe:
Ijumaa, 28 Feb 2025
Comments