MAMBO 8 MWANAMKE HUFANYA KWA MWANAUME ANAYEMPENDA


 

1. Utii.


Mwanamke akikupenda atakutii katika mambo yote ambayo ni halali. Hii ni Ishara kuu. Tofauti na hapo Hakupendi.


2. Kuwasiliana


Kila muda atakuwa anawasiliana na wewe. Haiwezi kupita siku bila kuwasiliana nawe. Tofauti na hapo Hakupendi.


3. Huacha Tabia Mbaya


Anabadilisha tabia zake mbaya zinazokuudhi. Hawezi kurudia kosa moja kila siku. Tofauti na hapo hakupendi


4. Ana anza kukuiga. 


Kama unapenda jambo fulani nae ataanza kulipenda. Mf kama unapenda Timu ya Simba naye ataanza kuipenda. Tofauti na hapo Hakupendi.


5. Kuonana Nawe


Siku zote atapata njia ya kukutana nawe hata iweje. Ukiona anakupa visingizio na visababu sijui nauli hana, jua hakupendi.


6. Anakuombea. 


Mwanamke anayekupenda atakuombea ili mambo yako yanyooke. Tofauti na hapo ujue hakupendi, akuombee ili iweje


7. Anakuonea Wivu. 


Anajisikia wivu akikuona upo au unachat na wanawake wengine. Hawezi kabisa na lazima akwambie. Tofauti na hapo Hakupendi.


8. Kukupa Zawadi.


Sio kwamba Wanawake hawana pesa za zawadi, ila wanawanunulia wanaume wanaowapenda. Tena sio boxer. Kama huyo hakupi zawadi pole aisee.☺

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAMBO 5 YA KILA MWANANDOA KUFAHAMU