TUTAENDELEA KUENZI USHIRIKIANO NA WASHIRIKA WA MAENDELEO - DKT. NCHIMBI

Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba, akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Majadiliano ya Ngazi ya Juu kati ya Serikali na Washirika wa Maendeleo, uliofanyika jijini Dodoma Februari 28, 2025, ukiwahusisha baadhi ya Mawaziri wa Kisekta kutoka Tanzania Bara na Tanzania Visiwani, pamoja na Wanadiplomasia na Washirika wa maendeleo wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini.

Mwenyekiti Mwenza wa Kundi la Washirika wa Maendeleo na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa, Mhe. Susan Namondo, akizungumza wakati wa Mkutano wa Majadiliano ya Ngazi ya Juu kati ya Serikali na Washirika wa Maendeleo.

Baadhi ya mawaziri wakiwa katika mkutano huo.


Washirika wa Maendeleo wakiwa katika mkutano huo.




Dkt. Nchemba akiwa na washirika mbalimbali wa maendeleo.


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAMBO 8 MWANAMKE HUFANYA KWA MWANAUME ANAYEMPENDA