Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akifurahia jambo pamoja wa wageni mbalimbali wakati wa
hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasanii wa Komedi Tanzania (TCA) katika ukumbi wa
The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2025.
Viongozi pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasanii wa Komedi Tanzania (TCA) iliyofanyika katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2025.
Dkt. Samia Suluhu
Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na
washindi mbalimbali wa Tuzo za Komedi mara baada ya hafla ya utoaji wa Tuzo
hizo katika ukumbi wa The Super Dome,
Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiangalia zawadi ya picha aliyokabidhiwa kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo hizo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya Champion of Comedy Award kutoka kwa Ommy Dimpoz.
Comments