Mkurugenzi wa Kampuni ya Mafuta ya MOIL, Altaf Mansoor (kulia) akizungumza na Mkuu wa Itifaki Mahakama ya Afrika Tamambele Simba kabla ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhutubia nakuhitimisha shughuli za Bunge la 12 bungeni Dodoma Juni 27, 2025.Mansoor alikuwa ni miongoni wa waalikwa.
Wakiwa wamesimama wakati Rais Samia akiingia kulihutubia Bunge huku akiongozwa na Spika Tulia Ackson.
Mansoor akiwa makini kufutilia hotuba ya Rais Samia.
Rais Samia akitoka bungeni baada ya kulihitimisha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 27 June, 2025. Kulia ni Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson.
Mansoor akijadiliana jambo na mmoja wa wageni waalikwa.Wakiwa wamesimama wakati Rais Samia akiingia kulihutubia Bunge huku akiongozwa na Spika Tulia Ackson.
Mansoor akiwa makini kufutilia hotuba ya Rais Samia.
Rais Samia akitoka bungeni baada ya kulihitimisha.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments