WALIOCHUKUA FOMU ZA UDIWANI DODOMA WANENA HAYA

Briton Machange mkazi wa Kata ya Makulu Dodoma akipokea fomu kutoka kwa Katibu wa UVCCM Wilaya ya Dodoma Mjini, Mengi Mwakisole za kuomba kuwania udiwani Kata hiyo Juni 28, 2025.

Machange akionesha fomu hiyo.
Zainabu Seif akionesha fomu kuomba kuwania udiwani wa viti maalumu Nkuhungu,Dodoma. 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203




 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKUNDI YA VILABU VINAVYOSHIRIKI KOMBE LA DUNIA 2025.

MUONEKANO WA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA MSALATO

JINSI YA KUMTAWALA MWANAMKE HASA MKE (USIOE MKE WA MTU)

NMB YATOA MSAADA WA SH. MILI. 125 KUBORESHA MIUNDOMBINI KATIKA SHULE 15 ARUSHA

DIARRA KIPA BORA TANZANIA