Mwenyekiti wa Kamati ya Kuduu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Devita Minja (kushoto) akiongozi kikao cha kamati hiyo wakati wahojiano na uongozi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe katika moja ya kumbi za Bunge jijini Dodoma Agosti 18, 2026.Kulia kabisa ni Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Aesh Hilaly.
Vikao mbalimbali vya kamati za Bunge vinaendeleo kwenye kumbi mbalimbali ikiwa ni maandalizi ya Mkutato wa Nne wa Bunge la 13 unaotarajiwa kuanza Jumatano Agosti 26, 2026'
Pamoja na mambo mengine mkutano huo ni maalumu kwa ajili ya kujadili miswada mbalimbali ya kisheria.
Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Aesh Hilaly (kulia) akiwa na Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini, Moris Makoi.
Wajumbe wa kamati hiyo ya PAC wakiwa katika kikao hicho.
Baadhi ya viongozi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe wakijitambulisha katika kikao hicho.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA.
Comments