Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, Jackson Kiswaga akiongoza kikao cha kamati hiyo na uongozi wa Wizara ya Maji pamoja na mabonde 9 ya maji ujadili jinsi ya kuepukana na uharibifu, uchafuzi na uvamizi wa vyanzo vya maji katika ukumbi mdogo wa Bunge, jijini Dodoma Agosti 18, 2026.
Upande wa wizara uliwakilishwa na waziri mwenye dhamana Jumaa Aweso (kulia) pamoja na Naibu Waziri, Mhandisi Kundo Mathew.
Naibu Waziri Kundo akitoa neno la utangulizi wakati wa kuanza kikao hicho.
Waziri Aweso akijadiliana jambo na Naibu Waziri, Kundo.
Wabunge wajumbe wa kamati hiyo wakisikilizakwa makini wakati wa kikao hicho.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA -0754264203
Comments