Baadhi ya  askari Polisi wakionyesha mfano wa matumizi ya Doria kwa baiskeli leo jijini Dar es Salaam ambazo baskeli 100 zimetolewa na Kampuni ya Home Shopping Centre kwa jeshi la Polisi.  Sherehe ya makabidhiano  yamefanyika jijini leo wakati wa hafla ya kutunuku vyeti na zawadi kwa utendaji uliotukuka kwa askari wa vyeo mbalimbali na raia walioshiriki kufanikisha utendaji wa kazi za Polisi nchini. Picha na Mwanakombo Jumaa -MAELEZO.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA